Mkuu nimekuonesha hali yangu nina deni nipige tough maana yake mie mwenye vocha zina nihenyesha usita take niongee mengi kwamba na mie ni mshabiki wako .. ukirushaga nalala nazo mbele zingine hasa za voda 🙈🙈🙈🙈
Serious wako wengi wenye uhitaji japo wengine wanachukulia utani lkn naamini kuna wachache wanaopata za zinasaidia kuwakwamua kwenye changamoto flani flani
Ndivyo navyoamini maana namimi kuna wakati nilipitia changamoto mbali mbali kuna walionisaidia kuzikwamua bila hata wao kujua
Ndivyo ninavyoamini
juzi na cocastic kujifanya kukomenti mfululizo tu kwenye ule uzi wa yoga sasa komenti za coca 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ,,, 😂🤣🤣 jomonee tyu...tulitolewaje baruu eti nyie Acheni kucheka cheka hapa rudini MMU!!🙆🙆🤣🤣🤣