Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Napuyanga hapa; kamshono baadaye kidogo nikisharudi home.ahaaa mama pasta kwa fashiooonnππππππππ!!! Simama nionepo juu imekaaje pullliiiizzzzz!!ππ
DaaahππNikidhani unaolewa sis darling, umependeza sana.
Sema basi asante jamani!Daaahππ
Haya endelea na kazi yako ya kusifia leo
hatari sana.mama mchungaji
IPO njema kabisa,vipi wewe usharudi??Weekend naona ipo vizuri sana mawardat.
Ahsante brod darlingSema basi asante jamani!
Wasijesababisha kina Hustler one waache kujilipua humu [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaha ... wasiende tu kututoa kafara huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]!!
Siku nyingine si mnaziwahi lakini !!!!!! Afu na pilot Mnaniangusha Shangazi enu bana mnakwama wapi hadi kufikia hatua ya kulia live banaaaπ€£π€£π€£πππ!!!πππ shangazi tunapitwaaa mengiii sanaaa humu , ili kukabiliana na tatzio za kale ka ujumbe ka oops try again
Ninavyoogopa maji sasa,, naonaga kama mtu yupo kwenye maji ananiita/ananivuta,,Mungu tu ananisaidia.Huko ka eneo ka beach hata kama porini kabisa ndani ndani sipati?
View attachment 2225379
Napenda utulivu na maji
Na hivi tunalingana mguu nitadoea kiatu.
Ahaa sawa nilijua jamsuit!!
Ooh umependeza
Na warembo mabinti kina cocastic Tinsley zungumzeni nao vizuri bana !!π€£π€£ππ ausio baba pasta _King ???Wasijesababisha kina Hustler one waache kujilipua humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nkamu na wewe una guu kama langu? Karibu udoee aiseeNa hivi tunalingana mguu nitadoea kiatu.
Umependeza sana.
Ahsante cha upoleππOoh umependeza
Nilikuwa sijaona vizuri kwa app
sawa mama pasta!βοΈπNapuyanga hapa; kamshono baadaye kidogo nikisharudi home.
Si uliona siku ile mguu mrefu [emoji16][emoji16]Nkamu na wewe una guu kama langu? Karibu udoee aisee
π€£π€£π€£π€£π€£ hatari sanaBora usalimiwe japo utabaki kutamani ujue ID ya mtoa salama. Tabu ni pale utakapophotolewa bila kujijua afu kipicha kileee na gusura
Mlonjo #41. Fundi mkuu kabisa