Selfika na JF: Snap it. Show it

Umewaza nini lakini wee rubani!!😂😂😂🤭🤭!
Ukweli mnaujua, inatuuma sana tena sana, sisi tunarusha pumba sanaaaaa hamna kitu kuku haingii mtegoni, ila vile vijamaa comments zao hazieleweki na vile vijamaa vipo kimya (watu wasiojulikana) ndio vinakula mizigo, sasa nasemaje kesho patachimbika humu.

We mwenyewe unajua ndio maana unacheka..
 
😅😅😅 na huu ndio ukweli mkuu Post M-alone , sema nini kwa hii post wanaweza tufikiria hata PM zetu wataweza zijibu zijibu
 
Hahahha
 
Hahahaaaa. Humu mie salute 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 ! kitambo sana!!!!!
 
Hujajua tu pa kuwashika mkuu au labda huna nyota😉 🤣🤣🤣😂😂!!!
 
Imebidi nicheke 😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…