Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Nimecheka
Ungesema hujaiona tena ingekua kutaftiana ya rohoni sasa
Nimekua dogo tena?Aliambiwa angeuona uso asingeishi. Em endelea kuishi mdogo angu
Kwa Ile picha, aah wapi
hapana mkuu hapa roho kwatuuuuu ....Ungesema hujaiona tena ingekua kutaftiana ya rohoni sasa
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Sasa unaonaje uikwatue na yangu madam mkemiahapana mkuu hapa roho kwatuuuuu ....
Hebu kisia miaka ukipatia nakuzawadiaKwa Ile picha, aah wapi
Kuikwatuaje??
hahahaha.imekuja hujaiona?
Mkuu mahindi uliyotuchomesha mahindi sanahahahaha.imekuja hujaiona?
Lol nioneeni huruma madam shangazi enu jamani! Mnataka mkimbie sio!! 🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Yani mkuu we tusaidie mojaLol nioneeni huruma madam shangazi enu jamani! Mnataka mkimbie sio!!![]()
Nakazi
Usilale nna swali antispidernyoka auntie madame wenu akalale sasa!!View attachment 2223601