Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
siasa hizo ujue!!wee utazimia.subiri 59:59:59 litajiTOKEZA GHAFLA
siasa hizo ujue!!wee utazimia.subiri 59:59:59 litajiTOKEZA GHAFLA
wee utazimia.subiri 59:59:59 litajiTOKEZA GHAFLA
sawa sawa nasubiri.Huko mbali mkuu tupia saivi kabla hatujasinzia tuna usingizi!!🙄🙄
Aah asihadithie!! Siri yako, usiwaambie wengine tuna sura za shosti usimuone hivyo kasoma huyoKelsea Hustler one jana alijilipua live no emoj wala nini ila usiku mnene!!
WadoeajiNimeshtuka usingizini, so ndiyo muda wa kujilipua eeh?


Yaani roho huwa ananiongoza jamani, kuingia huku tu mara picha hiyoo. Saa Ile naingia tu picha ya Iceberg9 hiyooo
Fanya Mambo HSNimeshtuka usingizini, so ndiyo muda wa kujilipua eeh?
Ndiyo nimefika kudoea sasa
Daah kashaija upo?Fanya Mambo HS
Mamtumoshi hatari sana...halafu huwa unatuchora tu wala hutupii kabisaNdiyo nimefika kudoea sasa
Ulale salama mrembo.Wapendwa mlale unono.... .. Mie Nikapumzishe fuvu langu sasa!View attachment 2223566
Nipo mdada, naibiaibiaDaah kashaija upo?
Asante sana rafikiWapendwa mlale unono.... .. Mie Nikapumzishe fuvu langu sasa!View attachment 2223566
Me nshakupenda nataka niwe houseboy kwakoWapendwa mlale unono.... .. Mie Nikapumzishe fuvu langu sasa!View attachment 2223566
