Hustler one
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 507
- 1,339
Leo nimeotea ya madamWapendwa mlale unono.... .. Mie Nikapumzishe fuvu langu sasa!View attachment 2223566
Leo nimeotea ya madamWapendwa mlale unono.... .. Mie Nikapumzishe fuvu langu sasa!View attachment 2223566
Eti imenigomea kufungukaWapendwa mlale unono.... .. Mie Nikapumzishe fuvu langu sasa!View attachment 2223566
Wee mkuu nimepitwa nayako asee rudia dakika sifuri kabla sijalala jamani!!
Uwe unatumia browser japo nishafutaEti imenigomea kufunguka
Tusemaje sasa au nmpe Ile siwez kuishi bila wewe
🤭🤭🤭🤭🤭Leo nimeotea ya madam
Kelsea tufanyie wepesi ya mwisho
Sina hata zaidi ya nlizoweka. Mie nasubiri kukuona wewe new comer humu.Kelsea tufanyie wepesi ya mwisho
Yangu SAA tisa juu ya alama, maana SAA Saba kuna watu nimegundua wanapita kimya kimya🤭🤭🤭🤭🤭
Zimenipita , mie kibabu kimoja hivi utaotaSina hata zaidi ya nlizoweka. Mie nasubiri kukuona wewe new comer humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena?Ni kama Ma mdogo wako mie ujue nitake radhi kwanza!!
Duh! Saa tisa?? Em nilale.Yangu SAA tisa juu ya alama, maana SAA Saba kuna watu nimegundua wanapita kimya kimya
Hahah leo hioo itanipita unisevie mkuu 🤣🤣Yangu SAA tisa juu ya alama, maana SAA Saba kuna watu nimegundua wanapita kimya kimya
Mara pap sura mdeni wako, mbona kunakuwa hapatoshi humu, hahahaha
Akitupia nitag nukuje fasta naeza kuwa nazurura zurura huko!Kelsea tufanyie wepesi ya mwisho
Mimi natupia sana tu, hujakutana nazo tuMamtumoshi hatari sana...halafu huwa unatuchora tu wala hutupii kabisa
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app