Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,998
- 35,451
Nasubiri [emoji4]SAA Saba bado jamani!! Mkilala si ndo tutatupia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri [emoji4]SAA Saba bado jamani!! Mkilala si ndo tutatupia
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umeanza usanii mjeda!!!hahahaha,ndo najiandaa hp nije na pozi gani.style gani la pic
Wewe na mwenzako Iceberg9 mnafuta within a sec, halali mutu hapa hahaahahahaha.lala ukiamka utaikuta
maana ataeza kuota
we natupia leo sitanii😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umeanza usanii mjeda!!!
Weeh mtu chake hajawahi tupia hata siku moja!! Bora wa kufuta haraka kuliko huyo mtu chakeWewe na mwenzako Iceberg9 mnafuta within a sec, halali mutu hapa hahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
we natupia leo sitanii
Au nimechanganya Ids [emoji848] hajawah kabisa kabisa aisee basi leo ajitahid tu aweke.Weeh mtu chake hajawahi tupia hata siku moja!! Bora wa kufuta haraka kuliko huyo mtu chake
Nitakutisha ushindwe lalala muulize mahondwa!!
Mie mkubwa siogopi [emoji4]Nitakutisha ushindwe lalala muulize mahondwa!!
hahahaha. Utaota li jitu. Utaweweseka
[emoji1787] hayo majitu ndio nayapenda sasa.hahahaha. Utaota li jitu. Utaweweseka
...
Kelsea Hustler one jana alijilipua live no emoj wala nini ila usiku mnene!!Nitakutisha ushindwe lalala muulize mahondwa!!
Nakaziahahahaha. Utaota li jitu. Utaweweseka
Sijui nitamuotea na leo, hapa nasinzia hatari.Kelsea Hustler one jana alijilipua live no emoj wala nini ila usiku mnene!!
wee utazimia.subiri 23:59:59 litajiTOKEZA GHAFLA
Huo ndio unatufaa wakati wengine wamelalaKelsea Hustler one jana alijilipua live no emoj wala nini ila usiku mnene!!
hatari sanaNakazia