Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Si unakumbuka eti?
Si unakumbuka eti?
Hata sikumbuki. Alisema hapa hapa selfika ama?Si unakumbuka eti?
Alikwambia unafunga pm utakosa mume hivihivi nawe ukasema utafungua
Picha basi black beauty
Nimekumbuka. Una kumbukumbu mie nilishasahau.Alikwambia unafunga pm utakosa mume hivihivi nawe ukasema utafungua
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kasahau hakumbuki mwenzioSi unakumbuka eti?
Duh[emoji2297]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Yani mmekua team sasa mnanishambulia kama lile goli liliwatoa Man city la rodrigo
Nimekumbuka alaf ni wewe na jamaa yako tamsana ndio mlinitolea uvivu hahaaKasahau hakumbuki mwenzio
Pole na safari mpenzi mungu awatangulie mfike salama!!Jamani dear nipo safarini hapa sijielewi elewi hata..
Ujue nilisahau kweli ndio kanikumbusha hapa hahah!!![emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Yani mmekua team sasa mnanishambulia kama lile goli liliwatoa Man city la rodrigo
Sawa sawa ila huko PM [emoji1787]usiende sio kuzuri sana, mtapendana mtagombana mtarudi kutuomba ushauri hapa [emoji23]
Usafiri salama mama.Jamani dear nipo safarini hapa sijielewi elewi hata..