Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,341
Mahari ipo wapi ya Kelsea napokea mimi kwa niaba ya familiaHiyo sio siri ni mchumba angu huyo labda anikane hapa nijue Kelsea
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
halafu kafuta na picha yenyewe,tusione ht emoj
hahahahaHiyo sio siri ni mchumba angu huyo labda anikane hapa nijue Kelsea
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
hahahahaUkinunua shamba piga fensi haraka utajua mmeuziwa wangapi haha
Iceberg9
Kelsea
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hilo ni la msingi sana!Ooh vyema
Marafiki wanasapotiana regardless hawana interest sawa .
Mahari ipo wapi ya Kelsea napokea mimi kwa niaba ya familia
Nani kasema nataka kuolewa?Alafu sijakuona muda ujueMahari ipo wapi ya Kelsea napokea mimi kwa niaba ya familia
Mambo
Shukrani sana ,nipo freesh kama cucumber.U?
Karibu tena dear
Binaaaaa

Binaaaaa