Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,981
KheeeeTupo chini ya mti tunapata pepsi baridii!View attachment 2223052
Hahaha, marahaba!!Kheeee
Mume wa mtu eeeee
Shikamoo
Matokeo ya Arsenal ninayo
Na mtaangamia vibaya hizi mechi za mwishoni msipomakinika![]()
Taatuuuu bilaaa 😂😂😂Hahaha, marahaba!!
Yani jana nilikasirika sana, haiwezekani spurs watufanyie hivi yani.
...Acha uchokozi basi!Taatuuuu bilaaa![]()
Kwahiyo ningoje ehhh, ila wewe zaidi aisehhh




Potabo ya ukweliView attachment 2223083
Kwa udhamini wa Google
Nani asiyependa vitu vizuriKwahiyo ningoje ehhh, ila wewe zaidi aisehhh![]()


Aisee poleHahaha, marahaba!!
Yani jana nilikasirika sana, haiwezekani spurs watufanyie hivi yani.
Umependeza mtoto mzuri.View attachment 2223083
Kwa udhamini wa Google
Lips nakupa 5/5View attachment 2223085
Kwa udhamini wa Google
Hii pole umemaanisha kweli?Aisee pole
Spurs sio watu wazuri ...
I'm rooting for you rafiki
Sawa mkuuUmependeza mtoto mzuri.
😜🙏🏽Lips nakupa 5/5
Ndio nimemaanishaHii pole umemaanisha kweli?
Mahasimu hawapeani pole najua

.