Mungu ashafanya wepesi boss, hakuna combination au fani ( course) ambayo ukicheza nayo inakupa mzigo.. na wakati mwingine tuna hangaika na mambo magumu tukizani kwamba kumbe sivyo kabisaa.. Kwa hapa nilipofikia hata ningejua kusoma na kuandika tu ingenitosha kabisaa 😅😅😅
Mungu ashafanya wepesi boss, hakuna combination au fani ( course) ambayo ukicheza nayo inakupa mzigo.. na wakati mwingine tuna hangaika na mambo magumu tukizani kwamba kumbe sivyo kabisaa.. Kwa hapa nilipofikia hata ningejua kusoma na kuandika tu ingenitosha kabisaa
nalo neno!
Yaani HKL ,HGL,kipindi chetu kila mtu alikuwa akienda chuo ni sheria,wengine ndo tukaona sheria imekuwa km fashion!
Tukaenda kusoma vitu vingine!
Wachache pia walienda mass communication!
Ila wengi ilikuwa law!