ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,427
- 118,972
Wow!Saint Anne ukipitwa na marudio basi. Afu ifike kwa maktaba ya kamanda.View attachment 2222660
Wow!Saint Anne ukipitwa na marudio basi. Afu ifike kwa maktaba ya kamanda.View attachment 2222660
Nieleweshe shoga
Nipunguzie hata stress, sona shida wala. Japo nina zangu gunia hapa



Wooooow mama malezi, umetokelezeeea mnoo.Saint Anne ukipitwa na marudio basi. Afu ifike kwa maktaba ya kamanda.View attachment 2222660
color, tanteeeeeeeeh moaaah.Umenyoa tena ile style nzuri?
naona sifa zako tu hebu tupia tuone, tege.nundu au boribo
Hamna, fupi kabisa. Nataka kuziacha acha natamani kusuka kimasai zikinyanyuka ntaweka tena ile style pendwa. Ila ndio inanikomeshaga saluni kila week kukaa kwene draya kichwa kinawaka moto.Umenyoa tena ile style nzuri?
Likiisha hili linakuja lile! Unafikiri vinaisha basi..
Ushamalizaga ule msala wako?
Linakuwaga zuri tu mwili ukijaa.nacheka km chizi woiiiiih.
...sisi karibia wote tuna matege kwetu.Hivi ni lazima kuset kila siku saluni?Hamna, fupi kabisa. Nataka kuziacha acha natamani kusuka kimasai zikinyanyuka ntaweka tena ile style pendwa. Ila ndio inanikomeshaga saluni kila week kukaa kwene draya kichwa kinawaka moto.
Sent using Jamii Forums mobile app

Mama kumbe una mguu mzuri hiv sikuwah jua etiLinakuwaga zuri tu mwili ukijaa.
Ona kama la huyu before and after...sisi karibia wote tuna matege kwetu.
View attachment 2222670View attachment 2222675

Guu guu guuHii nliweka jana tege lipo kwa mbali sana. Nundu sina miebolibo ndogo mnoo mno.View attachment 2222674
Sent using Jamii Forums mobile app

umependeza sana km prophetes fulani.kweli mama mchungajiSaint Anne ukipitwa na marudio basi. Afu ifike kwa maktaba ya kamanda.View attachment 2222660
Tege liko vizuri, linataka vimini tu ili wadau walioneLinakuwaga zuri tu mwili ukijaa.
Ona kama la huyu before and after...sisi karibia wote tuna matege kwetu.
View attachment 2222670View attachment 2222675
Siyo mguu wangu huo jamani.








Kila week mama ili uwe fresh mana unavyokua ukilala zinavuruguka alaf inabid uwe vizuri kwene kuzichana vinginevyo unakua kituko.Hivi ni lazima kuset kila siku saluni?
Uwii,hainifai![]()
Aseeeeeh,Linakuwaga zuri tu mwili ukijaa.
Ona kama la huyu before and after...sisi karibia wote tuna matege kwetu.
View attachment 2222670View attachment 2222675






Ila bia zimejaa za kutosha, hii ni serengeti big!Hii nliweka jana tege lipo kwa mbali sana. Nundu sina miebolibo ndogo mnoo mno.View attachment 2222674
Sent using Jamii Forums mobile app
HofyooooMaktaba ya kamanda haiendi na kiwiliwili tu.
Tunataka na kichwa.