Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,334
- 176,127
Sasa unaachaje na ya kutolea kwa mfano?
Sogea pale karibu na mpesa. Ila yakutolea pia nitume??
Sogea pale karibu na mpesa. Ila yakutolea pia nitume??
Sio wewe yule
Wewe si ni kislim kabisa?
Shindwa, niwe mwembamba kwani nimemkosea nini Mungu?



Jumapili njema.View attachment 1218571
Tatizo mimi nikipost nipo kwenye Gari mnasema mara picha ya mzungu. Mara nimegugo sasa mimi nifanyaje jamani






Sisi si tumefanana?
Hahaaa, amakosi agoo mma uko vizuri, Mimi picha yangu mwee ntaharibu uzi Wa watu buree, nnavotisha![]()
mma ulintungulu ugwe tuma ata ka mguu tuoneHahaha mkuu umechapiaSura sio roho.. Na nyie hebu pigeni za kwenyu



za kwenyuUmefuta tena jamaniAcha ubishi.
Sisi si tumefanana?
Sasa na wewe ni kamiss kama mimi.











HahahahahaTatizo mimi nikipost nipo kwenye Gari mnasema mara picha ya mzungu. Mara nimegugo sasa mimi nifanyaje jamani![]()
Nimefuta nini?Umefuta tena jamani
Kuchaa hazijaotaNdiwooo
BadooooKuchaa hazijaota
Picha banaNimefuta nini?