financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,361
Uzi unakimbia jamani najitahidi kukimbizana nao ,siskip hata page moja
, hongereni jf members ni wacute na mahandsome balaa
, hongereni jf members ni wacute na mahandsome balaa
, hongereni jf members ni wacute na mahandsome balaa
Kwahyo ile picha uliyoweka ulidownload?Sio mimi, kaumbo ka kimiss mara ya mwisho nilikua nako form 3.
Hata wanajeshi watakua wanakuogopa ww
OhooooKwahyo ile picha uliyoweka ulidownload?
Aisee kuna wanawake ni wazuri mno.
Bichwa lakooNdio![]()
Wewe unatuma picha za gugo, ila sio mbaya mnafanana
Ile ya miwaniiIpi hiyo?![]()
Ayaa...Jumapili njema.View attachment 1218571
Una mguu wa kuvalia pensi