Shule aliyopangwa MINAKI, ina comb zote za science na Arts, ni yeye tyuuu maamuzi yake, ila ndo amelia daah.Atabadili shule akienda kuripot ila shule iwe na kombi anayoitaka sasa itakua rahisi!
Minaki boys.
Atalia na roho yake.
Aende kusoma tu hiyohiyo aliyopangiwa.
Miee nanote tu boss!!😉Aaah ulishindwa kunitag?
Irudiwa ntaongeza ile kitu
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Sisi kuna mkuu wa shule flan alijifanya mbabe...tulipiga juu kwa juu alishangaa kuletewa barua ya kusaini mambo yamemalizwa ngazi za juu hakuaminiNi kweli kuna mtu humu jf mwaka juzi alisema alitengua machaguo ya mdogo wake na ikawa inasomeka walivyotaka wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa masikini ndo watakaoumia na hilo tamko. Watu watabadili kombi na shule vizuri tu! Bongo hii hakuna kisichowezekana!
Tena nenda na RR mweeeh,mkuu atakuja awapokee maboka.Haswaaaa yaan,.huyu dogo shule ntampeleka mwenyewe, maana anakua mwehu.ili akabadilishe vizuri.
Mzazi akiwa mjanja anasaidika tu wala haihitajiki pesaWatoto wa masikini ndo watakaoumia na hilo tamko. Watu watabadili kombi na shule vizuri tu! Bongo hii hakuna kisichowezekana!
Wanabadili sana, nakumbuka mwaka wetu sie ndalichako alikataza pia, ila mbna tulivyofika shule wanafunzi wengi, walibadili tena mnooo.Uko sahihi mjukuu. Ni Milambo...
Kama hakuna kubadili kombinesheni hapo sasa kasheshe! Ni kwenda private tu sasa...au kwa vimemo kutoka Wizarani huko huko!
Mbona hapo kubadili rahisi tu changamoto ni shule aliyopangiwa isiwe na hio kombi hapo walau kuna usumbufu!!Shule aliyopangwa MINAKI, ina comb zote za science na Arts, ni yeye tyuuu maamuzi yake, ila ndo amelia daah.
Haswaaaa yaan.Watoto wa masikini ndo watakaoumia na hilo tamko. Watu watabadili kombi na shule vizuri tu! Bongo hii hakuna kisichowezekana!
Inawezekana kabisa!!Wanabadili sana, nakumbuka mwaka wetu sie ndalichako alikataza pia, ila mbna tulivyofika shule wanafunzi wengi, walibadili tena mnooo.
Wanabadili sana, nakumbuka mwaka wetu sie ndalichako alikataza pia, ila mbna tulivyofika shule wanafunzi wengi, walibadili tena mnooo.
Hatareeeh sana.Mbona hapo kubadili rahisi tu changamoto ni shule aliyopangiwa isiwe na hio kombi hapo walau kuna usumbufu!!
Zamani watu walikuwa wanasoma hii (pamoja na HGK na KLF) wakitoboa first class kali ya point 3-5 wanakwenda Mlimani kusoma sheria. Sasa hivi hawa wanaishia kufanya kazi gani mbali na ualimu, polisi na pengine jeshini wakibahatisha?wee HGL? hauko serious kabisaa.
Wanakuwaga wanaringa kweliSisi kuna mkuu wa shule flan alijifanya mbabe...tulipiga juu kwa juu alishangaa kuletewa barua ya kusaini mambo yamemalizwa ngazi za juu hakuamini
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
24/7/2017 saa 11 jioni, siku niliyo report shule kuanza masomo ya advance.