Selfika na JF: Snap it. Show it

Ashukuru tu Mungu maana phys ingekuwa kumtoa machozi kama vitunguu maji
 
Si bora huyo,kuna mwenzie alipata 1 ya 17 dogo sayansi hatari

Looh jamani walimchagulwia chuo cha maendeleo ya jamii Musoma[emoji23]

Dogo alipiga yoweee hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona anaweza tu kubadilisha combination akitaka?
 
Si bora huyo,kuna mwenzie alipata 1 ya 17 dogo sayansi hatari

Looh jamani walimchagulwia chuo cha maendeleo ya jamii Musoma[emoji23]

Dogo alipiga yoweee hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyu dogo anavyolia sasa had huruma lol.
Tena kapelekwa shule nzuri tyuuh, ila HGL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…