Urafiki huwa unatokea tu automatic mnajikuta mnaclick, na cha kuongea huwa hakikosekani. Kama ambavyo ktk jamii huwezi kuwazoea watu wote na humu ni hivyo hivyo. Kuna mtu unakuta tu conversation nae inakuwa smoooth na cha kuongea hamkosi. Ila kuna mwingine mkisalimiana mnaishia hapo hapo.
yeleuwii nahisi nitakuja natetemeka, nyie nioneni tu huku napayuka hivi mimi kiuhalisia ni mpole na nina aibu jamani yaani kama ndiyo najuana na mtu kwa mara ya kwanza siwezi kuongea chochote zaidi ya kujibu atakachoniuliza tu.

haki ya nani tena,, siwezi jisikia vibaya maana nakuelewa,, sikatai mimi ni muongeaji na ninapenda sana utani ila ni hadi mtu nimzoee sana hauwezi amini kuna ndugu zangu tu hadi leo wanajua mie mpole maana nikienda kwao siongei kabisa,, basi nikisifiwa hivyo kuwa mimi ni mpole dada zangu utasikia wanaguna tu wanasema huyu tunamjua sisi hamna mpole hapa..