Selfika na JF: Snap it. Show it

Oya dogo mim mambo ya casual sjajui,mim ni mtu wa chimbo sana but nikiamua natoka kama hivyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hebu nigawie faranga za mgodini huko.?

Uko mgodi upi? Kahama kule kagongwa,. Au geita ile ya nyamalembo,. Au katoro ile kahumwa sijui.
 
Aseeeeh japo kachomekea huyu kanoga bhana, niache uongo, uwiiiio mtamu huyo kaka lol. [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
anhaa kumbe ulikuwa unaangalia nguo, mi nilikuwa namaanisha hilo ni pozi maarufu sana kwa sisi wanaume haswa uwanja wa ugenini ukiwa unasubiri pisi itoke bafuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…