Nimeona mnanisengenya halafu hata sielewi nikabaki na mfurugano.
Sawa mkuuBasi tafuta sehemu nzuri hapo namtumbo pata unachohitaji bill kwangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Oohh nilikuwa nasema hivi tuma picha yako 'fulu', usitufuruge hapa.
Mimi lazima unioneIla kusema ukweli mwenyewe ninavyoongea hapa utadhani mie ndiyo nina huo ujasiri wa kuonana na mtu wa JF,, haki namuunga mkono joanah alijisemeaga suala la kuonana na mtu yeyote wa JF ni gumu sana tutataniana humu tutacheka ila kuonana daah..
Shukrani sana.Shule zikifungwa karibu saana mkuu
Msijifiche saana, kadunia ndo hakahaka, we live onceNi ngumu +u introvert wangu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Mimi siko Wasafi dada
haya rafiki, uwe na weekend njemaShukrani sana.
Kama Jinsi wewe unavyojaribu kujificha unashindwa..Basi na Mimi ipo hivyo,najaribu kutoka nashindwaMsijifiche saana, kadunia ndo hakahaka, we live once
Ni ngumu +u introvert wangu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pic naahidi next week au ntaazima simu ya mtu this weekend
Hahaha...popapooo
GOOD WEEKENDUtakuwa umefanya jambo la mbolea sana
Siku ukikutana na Mimi utajisikia vibaya[emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo Maana sitaki.Umeona eenh?? Yaani mimi na wewe hatupishani sana,, maana huwa najiuliza hata nikikutana nao tunaongea nini sasa..[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]niko nagoogle hapa "how to slap someone through the phone" nikunase kofi sasa hivi
[emoji8][emoji4][emoji8][emoji8][emoji8]
Umefurahi eeehhhhahaha
Utanishikia wewe dearhalafu roho yako atakuwa anakushikia nani dear...hayo madude yanahitaji moyo wa bati sio nyama