Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukabaji wa shati unategemea na nan kavuu..

Kuna baadhi ya miili inapendeza...

Na kuna wakina sie tukivaa ni kama katekista wa kigango cha mtakatifu teresia mtoto wa Yesu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sio bikira maria kimbilio la Wengi?
 
Kwa nini niutese mwili. Bwanga hapa ndio sehemu yake 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…