Sasa wewe sema ni mikwara.Mama mkwe una mkwara...
Hapa numewakuta vijana wakiandika maneno hata sijayaelewa nduguUnaandika nini eti jamani
Huyo ulomuongelea ndio simfahamu.kwani auntie si ndio aweza kuwa mama mkwee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya mambo yapo bongo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kijiweni kutamu aisee nimekuta wana story wako busywazee wa kubet
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kumbe ulikuja
Nisamehe mimi jamani
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ndiyo wewe si nilijua hautaki kuonana na mimi[emoji41][emoji41]kwahiyo nikaja zangu kimya nikaondoka zangu kimya[emoji16][emoji16]tena nimekaa sana hadi nimezurura karibu wilaya zote.
Hujambo
Nemekununia
OoohhHapa numewakuta vijana wakiandika maneno hata sijayaelewa ndugu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji41][emoji41]apology accepted!
UnajuaNimefanya nini mie jamani??
HayaSijambo kabisaa
Hayapo hayo mama.Wasiwasi wa kibinadamu
Unacheka nini eti jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila ndiyo maana huwa naangalia na mtu wa kumuonesha maana ningemuonesha mtu kama Atoto za kwake angeona najaa kichwa kwahiyo angeacha ndiyo maana nilikuonesha wewe tu za kwako[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Tabia mbaya
Ni nini eti jamani mdogo wangu mzuri mzuriSi kicheko hicho dada