Selfika na JF: Snap it. Show it

Japo yana gharama yake.
Gharama yake nimeiona nilipopata matatizo.

It took me very long time to recover from stress...hadi sasa kichwa changu hakipo sawa sawa. .wakati wenzangu wapo sawa kitambo.
Ni kwa sababu nakaa pekeyangu muda mwingi.
Ooh pole sana
Huwa ni ngumu sana .. waweza tafuta mtu unayemwamini na kumuelezea shida yako .
Hii huwa inasaidia sana muda mwingine .

Mimi nipo hivyo toka mtoto mara nyingi nilikuwa najifungia chumbani hivyo nimezoea kukaa mwenyewe .. ila nikiamua kuwa social naongea huyo balaa .
 

Unapokuwa Mzee unatakiwa kuongoza Kwa mifano Kwa wajukuu ili wapate vya kujifunza.

Hata miaka Ile Nchi imepigwa na Njaa ni Wazee ndiyo tulionja matunda na vyakula vigeni kabla wanafamilia wengine hawajala ili kama Kuna shida yeyote iondoke na Sisi kwanza 🤪🤪🤪

Makinikeni nyote, Nchi inawategemea 💪
 
Yaani hazipiti dakika kumi sijawaza hilo jambo..
Nimejitahidi kueleza lakini wapi!
Gap bado ni kubwa..
Kuna mtu anajaribu kulifill lakini wapi!stress zangu hazina shukrani😂


Maisha ya kukaa lonely mazuri sana.
 
Iko siku utakipata unachokitafuta,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…