Selfika na JF: Snap it. Show it

Hayo maisha mimi yalishanishinda, napenda kuwa peke yangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hadi nyumbani wananiforce kujichanganya.
Muda mwingi huwa nakaa mwenyewe natulia.

Hakuna adhabu maishani kama kuishi maisha ya hivyo..nimeyaishi shule yaani niliteseka mno

Wewe unataka kulala,mwingine anaweka mziki,wengine wanapiga makelele yaani kero tupu.
 
Hii ya shule umenikumbusha, nimekaa hostel unatoka huko umechoka ufike basi upumzike unakutana na nyomi la kufa mtu, kelele sasa kama mpo stendi nilikua naboreka. Sasa na mtaani tena nikarundikane na watu hii hapana nshashindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndo mana unazidi kuwa mjeuri kila uchwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…