Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji28][emoji28][emoji28] huwezi peleka mpenzi gheto kama unajiheshimu, kama una muheshimu mpenzi wako na kama una waheshimu wenzako..
Safi. Nimehoji sababu naona sana kwa watu wengne, mwanaume akija na mwenza wake jamaa zake wanalala nje siku hiyo [emoji23] na hii si haki hivyo nilitaman kujua kwa upande wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee thubutuuu, unamjua huyo mtu? Anaweza kuwapangia hao wenzake kila mtu self container rooms, na akalipa miaka hata 5.
Kaamua tuu awe na company hivyo.

Uwezo anao sana huyo. Mr kahawa expensive. [emoji23][emoji23]
acha basi, maisha kupanda na kushuka .. unajua history ya macMuga wewee 😜😜
 
Safi. Nimehoji sababu naona sana kwa watu wengne, mwanaume akija na mwenza wake jamaa zake wanalala nje siku hiyo [emoji23] na hii si haki hivyo nilitaman kujua kwa upande wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka nimezaliwa sijawai fanya matusi geto kama kumbu kumbu zangu ziko sawa, ni hotelin na nyumbani .. Gheto sio ustaarabu aseee... hayo mambo hata bro Wigelekelo hawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…