Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Afadhali kwa kweli. Wa kienyeji yule naye simwamini kivile. Asije akaniharibia binti yangu na guu lake lile. Kha!Nimecheka Kwa sauti sana.[emoji38][emoji38]
Basi bora unifundishe mwenyewe
Kamanda PepNimeishia la Saba.
Kamanda p ni nani?
Ni nani huyo kwani mkuu?Kamanda Pep
Kweli?Rafiki yako kitumbo A Kakutwa na jambo huko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787]Kamanda Pep
Na ole wako usinialike kwenye mnuso. Yaani niko stendibai na mchango tayari tayari sitaki mchezo safari hii mkurugenzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]Ni nani huyo kwani mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pandaa juu nimekupa in4 kidogo,. Afu mbna ubuyu wake had kwa Mange umefika. Uwuiiiiiih
Hujanijibu swali langu mkuuNa ole wako usinialike kwenye mnuso. Yaani niko stendibai na mchango tayari tayari sitaki mchezo safari hii mkurugenzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
ππAfadhali kwa kweli. Wa kienyeji yule naye simwamini kivile. Asije akaniharibia binti yangu na guu lake lile. Kha!
Kumekuchaje huko?[emoji2][emoji2]
Na wa kienyeji anaonekana ni machachari mno asingeweza kuniacha salama huyu ningeharibiwa tu mwanao[emoji2][emoji2][emoji2]
Huku kumekucha salama kabisa ninamshukuru Mungu.tayar Kwa mapambano ya siku.Kumekuchaje huko?
Kawe na siku njema iliyobarikiwa binti [emoji1545]
[emoji23][emoji23]Jana niliharibu Mambo mchanaUmekunywa lemon juice na black coffee leo asubuhi??
Nipe list ya vyakula ulivyokula leo.usinidanganye
Oo polee nilikusaka sana
karibu kiumeni ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pandaa juu nimekupa in4 kidogo,. Afu mbna ubuyu wake had kwa Mange umefika. Uwuiiiiiih
Junia ana Auntie mzuuuuri jamani π₯Tuesday
I choose black[emoji1665][emoji846]View attachment 2218805
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Asante mamiiJunia ana Auntie mzuuuuri jamani [emoji91]