NjooniBana bana, picha nayoitaka inagoma. Ngoja nijaribu kwa mara ya mwisho
Strawbella
Saint Anne View attachment 2216799
Sent using Jamii Forums mobile app
Wauuweeeeeeehhh..π€Έπ€Έπ€Έπ€ΈMniongelee tu wala msiogope hata uzi wewe ukijisikia andika si unajua maisha bila mbwembwe za namna hiyo hayaendi
Misitu yenyew inafuga nyoka[emoji23]Wanasemaga eti nachuro tuachie misitu
Sasa mimi na misitu tunakomaa na nachuro.
Nimeiba mshono.Bana bana, picha nayoitaka inagoma. Ngoja nijaribu kwa mara ya mwisho
Strawbella ya kitambo shangazi, sijui kamshono utakaona vizuri
Saint Anne nimeweka skuna tena [emoji57][emoji57][emoji57] View attachment 2216799
π€£π€£π€£πππMwenzangu kizungu kinaniumiza kichwa [emoji2][emoji2]
MuoneNjooni
Njooni
Njooni mumuone mama mcgungaji mtoto wa kinyaki
Njooniii...........
Nangoja ugeuke tuuu[emoji177][emoji173]
mbio kuingiza[emoji849]Yaani mjep
Nilivyoona vocha tu nikasitisha kila kitu..mbiooo kuingiza
Sawa aunt yangu muzungu muzungu
Surayako nyeupe unamkono mweupe hata nono yako nyeupe aunt[emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mtoto mnaa sana huyoβ¦. Legends tunamuelewa π
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]!! Bado zako sasa !!
Shangazi cheki Mshono wako fasta, picha itasepa[emoji23][emoji23] [emoji2302][emoji2302]
Wacha niringe tuuu, hii bahati niliyonayoleo niyaaina yake, nasimu nazima kabisaaaaa sitaki shidaaaa
View attachment 2216789
hala ka beat hadi huwa nalala [emoji16][emoji16]
Sijaona kabisa ππ! Saint Anne π€π€πHivi hujaona picha ya anne ?
Ana kiuno kama nyigu..
Kumbe hujapona ule ugonjwa hadi umeanza kunywa miti shamba?
ila kuipata ndio shughuli zipo zenye version nyingi sana ya hii beatNgoja niisikilize
Aunt.......ππSema nn vibonge wote peponi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2216813
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app