Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,533
- 235,284
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujui rangi ya broken white? Hama hapo nyumbani ujue vitu
Chaaaaah
Kama wewe ni shangazi basi mimi ni bibi
Asante boss wangu.hongera sana
Nilimuulizaga SM flani… ilikuwa situlii naulizwa ile simu ushanunua?Nilivyoanza kutumia Samsung anauliza eti ni yako?[emoji23][emoji23][emoji119] Jinga sana
Sasa kabati limemfanyia kazi zake zote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi mzee mwenzangu yaishe[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzee huu shos!
Mweee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilimuulizaga SM flani… ilikuwa situlii naulizwa ile simu ushanunua?
[emoji23][emoji23]
Ulipewa hela ukala??????Nilimuulizaga SM flani… ilikuwa situlii naulizwa ile simu ushanunua?
😂😂
Wabibi kama Mimi tukaushe[emoji23]
Let say brown curtains means pazia za rangi ya brown sijui ndio ugoro kwa kiswahiliChaaaaah
Sasa nishike lipi?
Ni rangi au pazia?
Niacheni [emoji51]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dahUlipewa hela ukala??????
Wee broken white n rangi ya maziwa?Broken white na cream ni rangi 2 tofauti.. ila zinashabihiana kwa mbali…
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana.. ila zinaingiliana
Mustard yellow inaingia kwa white, black, grey, d. blue..
Naona mnanivuruga tu hapaLet say brown curtains means pazia za rangi ya brown sijui ndio ugoro kwa kiswahili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena unaonekana wewe kigagu mnoko hatari[emoji2][emoji2]
KabisaHabari ya mapazia ifungwee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ulishamuonaWasukuma wanazingua sana
Si unaona wige alivyotutenda[emoji2][emoji2]
Mungu aitwe Mungu lkn Kuna raha fulani hivi kuitwa mamaNikiwaza ule mpira wa mkojo unavouma uwiiiii!!!!
Nipo nasotea na mimi hizo homa
Mimi mtindi unajaa unakuwa kama umeganda[emoji19]
Tuendelee kuchukua notes
Si utulieWachoyo mno hawa.