Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngoja nikasome Uzi wako sasa japo ule wa Yoga hata page ya 50 sijafika
 
Set ina pazia 3.. ujue ilo.
Na dirishani utaweka in set…
It depends na wewe una dirisha ngapi…

Let say una mbili… ukichukua set 2 ni pazia 6 hizo, sasa next time ukipata hela utarudia kununua the same color of the previous set? Will you? If you’ll we utakuwa mtu wa kwanza nakutana nae… ni impossible bana

Kama ni wale wa kununua kapazia kamoja moja sawa… maybe inaweza kuwa hivyo unataka iwe.
 
Kwahiyo unatusimanga wa pazia mojamoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…