Hahha tutasoma kwenye wasifu wa marehemu pia[emoji1]Yaani siku nikifa hapa JF itakuwa tu jamaa alikuwa anapenda mayutongs hatari sasa kafa kayaacha. Sijui nitawezaje kuachana na sifa hii. Kazi ninayo kwa kweli [emoji20]
Nzuri nkamu. Naona baridi linakoleaSalama sana, hali yako??
Mshindweee !!!Hahha tutasoma kwenye wasifu wa marehemu pia[emoji1]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wax hiyo kwioooo. Hii ni HollandeWax OG, [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Mchoyo sana.Endelea na uchoyo wako, utanenepa. Kipicha unapost unaangalia mwenyewe
Kwani picha zangu hukuziona? [emoji16][emoji16]utakua heavy weight msukuma sio kwa kupenda mizigo mikubwa hivo[emoji12][emoji6]!
Wow. Mungu ni mwema madam, so far najua unawaombea sana wanafunzi wako. Ni faraja ya mwalimu kuona wanafunzi wake wanafaulu vizuri na kufuatilia ndoto zaoSijaenda nimebahatika msimamizi mkuu kituo teule nipo nasubiria kupokea mitihani hapa!!π
Nyumbani nilitoka jana jioni nitarudi wakimaliza
usiwaze wewe tena shos!Wee dea, puliiiizz hela ya usimamizi tugawane aseeeh. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] na hataki tumuone.utakua heavy weight msukuma sio kwa kupenda mizigo mikubwa hivo[emoji12][emoji6]!
Happy [emoji512] lect, njoo hapa library nikupe zawadi. [emoji38][emoji38]
Ndio sijaona...haya rekebisha nione sasa!!πKwani picha zangu hukuziona? [emoji16][emoji16]
Sanaaa. Tutamkomesha lakiniπππMchoyo sana.
Tukifika hapo tunakohoaMshindweee !!!
Wee mmmhWax hiyo kwioooo. Hii ni Hollande
Happiest birthday kwako
Nini sasa?πππWee mmmh
Shimba Ya Buyenze ... tunahamu na selfii yako mkuu tuonee imani jamani![emoji23] na hataki tumuone.
Wacha yaan ni hatar. Siku sio nyingi nawakimbia.Nzuri nkamu. Naona baridi linakolea
Labda kesho. Ngoja nilale angalau 4 hrs. Kukicha lazima kanisani. Be blessed wanaselfika [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ndio sijaona...haya rekebisha nione sasa!![emoji6]