Selfika na JF: Snap it. Show it

Bahati mnazipiga teke

Halafu mambo yakiwa si mambo

Mnafungua siredi mnataka yoyote

Bora anapumua
Ninasabbu za msingi ambazo nafikir zitanifanya niishi kwa amani nijizirekebisha kabla sijakubali kukaa na mtoto wa mkwe kuhusu kuwa anapumua bado Sana kuandika iyo siredi[emoji23][emoji23]



Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Zamani wakati katoto katoto nilijuaga ni wadada tu ndio yanatukuta haya kumbe hata nyie buana poleni sana.
 
Pole. Ilikuaje sasa hamkufunga ndoa wakati mnapendana?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sawa bana ila usichelewe sana...
View attachment 2216173
[emoji1]kweli kabisa lkn binadamu muhimu kutambua madhaifu yako kbla hujaingia kwenye ndoa maana kunaharusi alafu Kuna ndoa

Harusi ni sikumoja ikuzidi Saba za honeymoon Ila ndoa ndo kimbembe na ushapta cheti kabla hujaingia kwenye mafunzo sitaki matatizo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Happy mother's Day kwenu wakina mama shupavu na jasiri mlioweza kulea watoto wenu vyema na kwa upendo, MUNGU awabariki sanaa.
Hongereni pia wake zetu mlio tulelea watoto wetu na mnaendelea kuwalea kwa upendo na malezi bora, mbarikiwe mpaka mshangae.
Tunawapenda sanaaaa.
Hii siku yenu ikawe njema na mkaifurahie
 
Ujumbe murua hebu hivi vitext muwatumie na kwenye simu vyao wapate faraja kidogo muwaandalie na zawadi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Pongezi nyingi kwa bi mkubwa👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…