Selfika na JF: Snap it. Show it

Sahihi, na nisivyopenda purukushani sasa sitaweza bwana mbabe.
Na mwanaume ukiona amainua mkono hivi ujue pia amejikaza akashindwa na mwanamke amemdhihaki vyakutosha, wanaume asili yetu sio waongeaji ndiyo maana defence mechanisms yetu ni kutishia we nitakuzaba ukiendelea hapo he didn't mean a thing ila unapozidi sasa kuonyesha jeuri utomvu wa nidhamu ndiyo hatari inakua zaidi
 
Anakudunda balaa alikuwa serious na ndoa aise nikaona hapa itkuwa ndoano nitakuja kupigwa nife


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wasukuma madikteta sana aisee.

Nilishaangaa eti kwenda kumsalimia ndugu yetu,ndugu yetu anasema mpigieni kwanza baba Fulani simu ya kuomba ruhusa ya kuja!
Chaaaaah!!!


Mimi nina dada yangu ameolewa naa msukuma...wakati wa kuondoka huwaga dada haruhusiwi kunipa nauli,ananipa yeye mwenyewe shemeji kudadeq.
 
Wengi mno sema wanawake nao sikuhiz wameamka wanawadunda wakat mwingine


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Raha ya mapenzi umfumue bebi na kofi ukijua kabisa hawezi kurudisha maana akirudisha atakuumiza.

Sasa hii misukuma itakuwa inadunda tu wake zao kama ngoma badala ya kuwaachie wake zao ndio wawapige kidogo
 
Yes sahihi. Na kuna wanawake wana midomo kweli kubondwa hakukwepeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…