Selfika na JF: Snap it. Show it

The night is dark but I am not forsaken
For by my side, the Saviour He will stay
I labour on in weakness and rejoicing
For in my need, His power is displayed

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni Mungu utukufu wako umetamalaki,
Hakuna wa mfano wako Mbinguni na duniani, "sema haufananishwi"
Haufananishwi Bwana,
Haulinganishwi Bwana,
Haufananishwi Bwana,
Haulinganishwi Bwana,
Unamamiliki Mfalme
unatawala bwana
 
wewe ni Mungu utukufu wako umetamalaki,
Hakuna wa mfano wako Mbinguni na duniani, "sema haufananishwi"
Haufananishwi Bwana,
Haulinganishwi Bwana,
Haufananishwi Bwana,
Haulinganishwi Bwana,
Unamamiliki Mfalme
unatawala bwana
Tunawatumishi wengi humu, haka kasehemu ndiyo maana kana upako, ukiwa na kauchovu ukaja kuperuzi humu unajikuta uchovu unapungua
 
Upo vizuri, unacheza hiyo michezo? Mimi nacheza basketball [emoji459]
Nacheza Sana na nachezesha pia nafundisha nikiwa nimeshiba lkn[emoji16]
Sahiz umri umeenda siruki ovyoovyo

Basketball sijawahi kufatilia Ila football nilichezaga maramoja ujanani [emoji23]ya wanawake lkn

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wewe sophy ni kiboko hadi football [emoji460], unachezaji football [emoji460] wakati unaoneka mtoto laini wewe wa Kizanzibari
 
Adabu halafu mnaishi kibabe tu hata hainogi[emoji19]
Raha ya mwanaume umtingishe kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2096]
Aisee iyo kuapproach tu jamaa anakwambia nakuomba uje tuongee saa nane mchana nakutumia usafir [emoji23][emoji23][emoji23]ndugu yangu hata sijaringa kidogo kha hata sijakubali siyawezagi hayo [emoji38]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Umri umeenda wap na wewe watu mnapenda uzee ee [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…