Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,214
- 29,383
Aisee ni kweli.Amkeni amkeni amkeniiiiiii.. Yna2 kaandika thread anatafuta mchumba huko,pm iko wazi ilimradi uwe unapumua Tu
Depal unaniruhusu nizame pm kujaribu bahati?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ogachimile aganīkī ako gagifanyaga gazunya gatale ga kwenūko ma mologolo bageshi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]Kaa kwa utulivu
Anza wewe kwanza namie nitafuataSelfika [emoji4]
Naaah man[emoji16][emoji16]Been to Hooters bro?
They serve decent burgers, chicken wings and fries; and the waitresses are always gorgeous [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099]
View attachment 2215773
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aisee ni kweli.
Ila maisha yanakwenda kasi sana yaani.
Natafuta boyfriend
Habari za jioni wapendwa.. Natafuta boyfriend.. Mengine yatazungumzika pm 😂 Ahsanteni sanawww.jamiiforums.com
Leo sitaki kupitwa Niko live na mimiMuda yetu ya kuselfika live imekaribia[emoji126][emoji3]
Sawa “pailot”ThrowBack
View attachment 2215807
Shangazi[emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3]
Nashukuru nilishaponaga kwa kuzingatia masharti,Pole sana mjukuu. Naamini ulishapona na kuondokana kabisa na tatizo hilo...
Ndiyo. Mafuta mengi siyo mazuri (hasa kwetu wahenga) japo vyakula vilivyokaangizwa ndo vitamuuu. Mara moja moja siyo mbaya lakini....
Nina daktari mkorofi hapa na mafuta pekee ninayoruhusiwa kutumia kwenye vyakula ni haya. Akiona cholesterol imepanda hata kwa point moja tu basi nitanuniwa hata mwezi. Hovyo tu! [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2215761
Mabaharia wanakuja PM uwachezee tu akili zao wewe si ajabu unataka tu attention. Hufai! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msalimie dr,,,,Pole sana mjukuu. Naamini ulishapona na kuondokana kabisa na tatizo hilo...
Ndiyo. Mafuta mengi siyo mazuri (hasa kwetu wahenga) japo vyakula vilivyokaangizwa ndo vitamuuu. Mara moja moja siyo mbaya lakini....
Nina daktari mkorofi hapa na mafuta pekee ninayoruhusiwa kutumia kwenye vyakula ni haya. Akiona cholesterol imepanda hata kwa point moja tu basi nitanuniwa hata mwezi. Hovyo tu! [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2215761
Nami niko hapa leo sitoki
Kwakweli tusubiri tuNami niko hapa leo sitoki
Ninune? Kwa vile mi last born ama?
Naomba ile mayonise iliyobaki.Ninune?
Mi ni kumpelekea moto tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]