Selfika na JF: Snap it. Show it

We fanya yote ila stori utuletee [emoji23] ole wako sasa.
 
Akili gani sasa itatulia? Mbona mimi naona hauna akili?

Hahahaha Cocaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wee tulia hapo CRDB uhesabu pesa za watu.

Mie genius wee, hivi hujui eeeeh? Nawakalisha huku watu na hawaamini yaaan
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wee tulia hapo CRDB uhesabu pesa za watu.

Mie genius wee, hivi hujui eeeeh? Nawakalisha huku watu na hawaamini yaaan
Kheee yamekuwa hayo tena binti wa tiharahey? 😂😂

Hongera kwa kuwa giniaz
 
Kheee yamekuwa hayo tena binti wa tiharahey? [emoji23][emoji23]

Hongera kwa kuwa giniaz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wee.
Yaan nimecheka km mwehu hapa.

Nipumzishe kwan, hebu nigawie kwan mapene nitusue mtaan, niseme nna dada wa hiyari mwenzenuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mjep ametoka kuzichota nyingi… ongea nae 🤣🤣
 
Acha ukorofi shos!!😉😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…