Kwangu nipo pekeyangu
Mimi yeye Mimi ntakufa na yeye
Nampenda nampenda nitazidi kumpenda
Tamfuata pale pote ye anapokwenda
Ikiwa wazi nikimuona moyo una dunda
Mimi na yeye nitakufa na yeye
Hata useme nini nitabaki na yeye
Mpaka mwisho wangu nitabaki na yeye eeeh
Tatalatatalalata talalatatatalataaa
Mr Blue