Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Una offer nzuri, sasa wewe tuma hizo dollar 4000 zote kwanza tujazie mzigo wa vijora. Halafu tutapanga hiyo road trip na Uzuri dereva nipo, ukichoka nakusaidia kulipush hilo discovery..!!
tajiri unaniona kama matter core yako sio? 😁 Daah

we twenzetu bhana tunakaa 7 nights kisha tunarudi wepes kabisa
 
tajiri unaniona kama matter core yako sio? 😁 Daah

we twenzetu bhana tunakaa 7 nights kisha tunarudi wepes kabisa
😹😹😹 Tuma mzigo huo kwanza nishtue umaskini huku.!!
Sijui nianze kuruka na yupi hapo?
Najua kwa Chanel sikosi slipper kwa hiyo dollar 4000 🔥
 

Attachments

  • IMG_7123.jpeg
    IMG_7123.jpeg
    441.7 KB · Views: 0
Back
Top Bottom