Mi mwenyewe kampala kumeniharibu sana kimavazi! Nivile tu sio mlevi wala muenda club kabisahapo tu ndipo naposhukuru Mungu ila vingine aarghh nawakubali sana kampala ila chakula chao ndio kimenishinda kabisa... hawajui kupika vizuri

Hahahaaaa.... kuna sehemu hadi chitundu niwewe tu... ukisikia watu w wamechoka maisha ndio kule sasa yani wajajiachiaa Mweh!! Ushawahi kwenda nabugabo??? Aiseeehhh aisee acha kabisa