Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi sipendi supu wala ndizi na huo mtori
Huwa najiuliza hili ila nasikia wengine wanasema hizo supu si nzuri zinafanya unanenepa tu nothing else . ..
Nilisikia supu ya samaki ni nzuri inawahi kukaza kiuno/ mgongo kwa mzazi!
Lakini pia na supu ya nyanyachungu ni nzuri kwa mzazi eti mimi walikua wananichemshia nilipojifungua sasa ikikosekana hio samaki supu ya nyanyachungu kavukavu mwanangu 🤔🤔🙆!
 
Ooh hapo jitahidi uongeze vyakula vingine venye protein .. aisee naamini Mungu atakufungulia njia utarudi katika hali ya kawaida .

Yeah wapo wasiopenda hiyo michemsho na watoto wanakuwa vyema tu .
Kabisa ila hii aleg ya ukubwani inikome Mie 😩 naamini nitapona IJN!!
 

Ooh kumbe
Huku tumezoea ya ngombe tu
Samaki wa sato au aina ipi
Ooh na hiyo ya nyanyachungu pia kumbe

Hakika kuna alternative nyingine ambayo itakusaidia kurejesha afya vizuri .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…