Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah smart sana kumbe ulienda shule kuchota maarifa na sio ujinga, umewachapa na maneno malaini lakini yaliwaingia akilini, exile zikizidi chuoni ni ujinga mnajifanya eti ushikaji hakuna ni kufuga upuzi, isitoshe wanapigana hapo na wewe upo stupid
Kwa kweli ni ushkaji uchwara😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…