Wakati kijana alikuwa ananijibu kwamba oh sister wengine Wana ndoa zao Kwahiyo usitupangie maisha,
Nikamwambia wenye ndoa wapo zao wamepanga mjini..hutawakuta wanahangaika na exile za vitanda vya miatano vya hostel Kwahiyo lazima nikupangie.

Dah smart sana kumbe ulienda shule kuchota maarifa na sio ujinga, umewachapa na maneno malaini lakini yaliwaingia akilini, exile zikizidi chuoni ni ujinga mnajifanya eti ushikaji hakuna ni kufuga upuzi, isitoshe wanapigana hapo na wewe upo stupid