Mimi nataka nikamfanyie usafi tuuuMie tenaaaa huyu? Tena kwako wee? Hapana labda nikuunganishe, mie ni terminator wa kutupwa, nashusha vocal had mtoto mkaree Tinsy anaingia kambani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukran japo nip mbali sana. Natamani sanaKaribu mpendwa tujumueike 😍
selfii shangazi!!Nipo dear...
Alikukomesha😂😂🤣!Yaan nisipochambana na mtu au kumtibua mtu sijisikii poaa, yaan kila siku lazima mtu m1 niwe na jambo nae, chuo wanakoma mbna.
Yaan nikiamka lazima mtu m1 niamke nae, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbka kuna siku mkaka wa chuo nkaamka naye, acha anifanye nikimbie peku chuon km mtoto khaaah.
Naemwa hapa,oooooh mbili haikai,moja haisimamiNasubir Eid, pilau liko wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
selfii shangazi!!
[emoji23][emoji23][emoji23],,,cocasti hakuwepo,,,[emoji51][emoji51][emoji51]Hakuna pilau nyie mlitualika nasema uwongo my dear mawardat [emoji3]
Kesho mwaya karibu,karibu,karibuNasubir Eid, pilau liko wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama mchungaji👌Yesu ameshinda Vita MileleView attachment 2207549View attachment 2207551
Wapi ndugu yangu mbinguni 😬Shukran japo nip mbali sana. Natamani sana
Ndio unaniombea nife??? Nipo nje ya TZWapi ndugu yangu mbinguni 😬