Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23]
Hamna naongea japo si sana
Na pia una kaukali fulani hivi mtu akikuzingua. Kuna siku nilikuzingua makusudi tu yaani halafu ulipokasirika nikajisikia vibaya. Mi nami sometimes yaani dah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Ooh siwezi kuhandle joke very well lazima tu nizingue hapo kati .. I've been bullied before kwa hiyo nimejiwekea hivyo ili mtu asinizingue kabisa

Nisamehe kwa siku ile nafanya kama defensive mechanism tu maana nina soft heart hivi .. I'm trying my level best kubadilika japo si rahisi .
 
Dah mkuu kweli unagombaniana hizi vocha na sisi dada zako[emoji26]
Nani kasema wewe dada yangu? Ila usijali sweety, tatizo life! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hee😃
Kweli😂
Kwahiyo kwani na wewe upo kwenye kundi letu akina dada?(nakutania)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…