Huo ndiyo ubinafsi sasa na roho mbaya🤣Camera ya mbele imevunjika
Acha kabisa kuna mda natamani niache ila nashindwa 😬Tupo wengi 🥰🥰
🤣🤣🤣Huo ndiyo ubinafsi sasa na roho mbaya🤣
[emoji23][emoji23]vile unavyoumiaga,daah!!!Hahha mbona kma unanisema Mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Usiombe ukute mtu kaita baby unaweza kupekua profile ya mtu kutwanzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikuwekee na wimbo wa kusindikiza wikiend yako kbs#issa weekendView attachment 2205926
Santee ila hiko kilugha itabidi unitafsirie😅Ngoja nikuwekee na wimbo wa kusindikiza wikiend yako kbs
Tupingiane wachumbq zetu... tunawachapa mbili kavu kavu
Hahahahhaha aisee,,,,mie namwambia tu,punguza hayo matani na watu zako[emoji2958]Usiombe ukute mtu kaita baby unaweza kupekua profile ya mtu kutwanzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kiganda kimechanganywa na kiingerezaSantee ila hiko kilugha itabidi unitafsirie😅
Chorus ndio nimeelewa😅Kiganda kimechanganywa na kiingereza
Ila hili vazi bwana!Nani atamfunga paka kengere??
Yanga wakifunga mniite nije nitoe niqabu[emoji41]View attachment 2206121
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja🦁😃😃Nani atamfunga paka kengere??
Yanga wakifunga mniite nije nitoe niqabu[emoji41]View attachment 2206121
Sent using Jamii Forums mobile app
Ijabu sio deal toa ahadi ingine.. lazima tuwachape 2 kwa ka moko..Nani atamfunga paka kengere??
Yanga wakifunga mniite nije nitoe niqabu[emoji41]View attachment 2206121
Sent using Jamii Forums mobile app