B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Yaah lakini pia distance kutoka jicho moja kwenda jingne na size ya jicho lenyewe 😋😋
Ya chui 😜
Ya chui 😜
Njoo tunyee cappuccino sio kwa kunihamisha huko 😅😅😅Niko na best angu hapa tumejipumzishaView attachment 2204908
Grano au wapi nije chaaap😋Njoo tunyee cappuccino sio kwa kunihamisha huko 😅😅😅
😌😌Yaah lakini pia distance kutoka jicho moja kwenda jingne na size ya jicho lenyewe 😋😋
Mwambie atoe ushungi tuone Kama lipo au halipo!Una macho mazuri mkuu
Mwambie atoe ushungi tuone Kama lipo au halipo!
Grano inapendeza 😅😅Grano au wapi nije chaaap😋
Nitoe ushungi sikumbuki mara ya mwisho watu wangu wa karibu kama waliwahi kuona bichwa langu sembuse JfMwambie atoe ushungi tuone Kama lipo au halipo!
Na hali ya hewa inaruhusu leo, nakujaaaaa🏃♀️🏃♀️Grano inapendeza 😅😅
Bibie ushawahi kupigwa hadi unasahau jina lako😬😬😬Na hali ya hewa inaruhusu leo, nakujaaaaa🏃♀️🏃♀️
Ni kunywa kahawa tu, hamna lingine kweli tena🤣🤣Bibie ushawahi kupigwa hadi unasahau jina lako😬😬😬
Mwambie suna tuMtoto wa kiislam kujistili
wife.. 😘😘😘Bibie ushawahi kupigwa hadi unasahau jina lako😬😬😬
Kahawa tu Lenie hakuna kingine sehemu enyewe public 😁😁
Punguza vurugu kidogoNitoe ushungi sikumbuki mara ya mwisho watu wangu wa karibu kama waliwahi kuona bichwa langu sembuse Jf
Mwambie suna tu
Hiyo kazi nakuachia wewe usikwame nduguAu sio mkuu 😅
Bdae tukutane pale kwenye mziki mzuri![]()
