Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
😬😬
😬😬
Nitakusindikiza kwako, ufike salaama.. maana dunia siku hizi imevirugwaa uje basi chap chap hali ya hewa safii tukitoka hapo twende tukapate fish pale fish fish wa mchemso 😅😅😅Eeh tukitoka hapo kila mtu anarud kwake
Wife 😍😍 roho yangu hakuna kama wewe moyoni mwangu
Kwelii
Aku nitarudi mwenyew, sitaki kudundwa mie😅Nitakusindikiza kwako, ufike salaama.. maana dunia siku hizi imevirugwaa uje basi chap chap hali ya hewa safii tukitoka hapo twende tukapate fish pale fish fish wa mchemso 😅😅😅
Not kids?Kitanda kinaniiita mapema leo![]()

😬😬😬wife.. 😘😘😘
😍😍Usijali mpendwaKwelii
Usiogope, karuhusu bwana ukuje basiAku nitarudi mwenyew, sitaki kudundwa mie😅
Haya wacha nimpigie boda boda wangu anilete hapo fastaUsiogope, karuhusu bwana ukuje basi
karibuu sana 🤓🤓Haya wacha nimpigie boda boda wangu anilete hapo fasta
Santee kamandakaribuu sana 🤓🤓
Naingia hapa kukusubiri asaaa 🤓🤓🤓Santee kamanda
Ushafika eneo la tukio tayari, nami nakuja si muda hapoNaingia hapa kukusubiri asaaa 🤓🤓🤓View attachment 2204957
Nilitegemea utasema unawahi kidsWanachangia kwa kiasi kikubwa
umenichekesha![]()



I wish!
Nilitegemea utasema unawahi kids![]()