Selfika na JF: Snap it. Show it

wewe babuu una danger , nitakutegemea king'amuzi πŸ˜…πŸ˜…
Usiwe na wasiwasi na Mimi Mkuu, sisi ni wale Wazee wachache tuliofundishwa maadili na hayati Mzee Nyerere tangu wakati ule wa Azimio la Arusha, kabla ya Maazimio ya Musoma na Dodoma πŸ€ͺπŸ€ͺ

Nimeona ni kama upo bonde la Usangu, vipi unalima huko? Karibu nikukodishie shamba la mpunga karibu na hao Waburushi 🚢🚢🚢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…