Kama mwanadamu inatakiwa ifike wakati uachane na mambo yaliyopita... Mambo yaliyopita muda mwingine yanakosesha amani ya maisha unayokuwa nayo sasa..
Ifikirie sasa ..Ifikirie kesho ...Jana inafundisha lakini haitakiwi kukufunga ukawa mahala hapo hapo.
Usipoteze mwelekeo kwa sababu ya jana ..Jana ni Jana .. Leo ipe nafasi yake kwa kuanza upya ..ili kesho inapofika ikute una pa kuanzia.
Have a goodnight friends
Sent from my Infinix X650B using
JamiiForums mobile app