Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole sana mjomba...

Upo alaska eehh! [emoji2]

Kwahiyo inabidi uwashe heater au unakoka moto..
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mjomba hiyo hapa hapa Tanzania kwenye moja ya hifadhi chache zilizobaki tanzania na zenye uangalizi mkali kwenye misitu na milima yake.. heater ya kwenye hari ina fail asee .. maji yenyewe yanaganda . sema tumezoa
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Mjomba hiyo hapa hapa Tanzania kwenye moja ya hifadhi chache zilizobaki tanzania na zenye uangalizi mkali kwenye misitu na milima yake.. heater ya kwenye hari ina fail asee .. maji yenyewe yanaganda . sema tumezoa

Mjomba hapo inabidi ukoke moto tu[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…