Selfika na JF: Snap it. Show it

binafsi nisingeelewa,ila nisingekosa kipindi chake
Hivi wanafunzi wako wa kiume kweli huwa wanakuelewa ukiwafundisha na hiyo shepu yako Boss Lady?
Vijana wenyewe hawa anazingua unamwambia njoo ofisini..anakuja unamwambia haya hebu jielezee nini kimetokea anaelezea kisha unamwambia haya andika barua ya haya maelezo ulosema hapa ukiri kabisa anakujibu mwalimu barua yanini Wakati nimeshakuelezea hapa jamani maelezo ni hayahaya mwalimu !
!
 
Mie sitaki sheedaaaa kabisa msukuma!!
 
Umependeza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…