Uniangalizie namna ya kuondoa Hivi vipele babu vimeaniandama kweli.. Simara ona sura yangu ivokua na mapele saivi Naomba mwongozo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!View attachment 2202098Mkemia simama kidogo nione kiwalo
Uniangalizie namna ya kuondoa Hivi vipele babu vimeaniandama kweli.. Simara ona sura yangu ivokua na mapele saivi Naomba mwongozo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!View attachment 2202098
Sitaki makwazo Vijana wa mama ma mchungaji ni sketi na shati sketi mshazari tu ila shati hapa mbele juu Nilitaka kushona denda fundi alichoshona sasa utacheka.. Ngoja badae baridi ipungue nivue kikoti nijiselfii shati ucheke hii denda ! Hadi siwezi kuivaa bila kikoti kwa juu!View attachment 2202107

Alikuwepo mwalimu mmoja alikuwa anafundisha kiingereza asee,, alikuwa anaitwa sanga,, nyie nyie yule madam ni fayaaa
msemo wa zaiid "alikuwa amejaza nyuma kama contena" af alikuwa anapiga vimini af nlikuwa nakaa mbele akifika tu mie begi nalipakata maana najua muda wowote hali si hali